£3.99
Ninang'atuka 2014
Ni kitabu chanye hazina ya mashairi yaliyotungwa na mtunzi aliye bobea katika fani ya utunzi wa nyimbo, tenzi na mashairi.
Mtunzi wa kitabu ametunga tungo za kitabu hiki akifuata na kulinda maadili ya lugha ya Kiswahili kwa malengo ya kuelimisha, kuburudisha na kufundisha jamii zote.
Usomapo kitabu hiki utapata uhondo kamili wa lugha ya Kiswahili
kwani mtunzi wa kitabu ametumia maneno ya Kiswahili sanifu, Kiswahili cha mitaani na maneno aliyoyatohoa kutoka lugha mbalimbali ambayo hutumiwa kwa wingi mitaani.
Katika kurasa za mwisho za kitabu hiki
mtunzi ameweka kamusi ya Kiswahili cha mitaani ili wale wasioelewa Kiswahili cha mitaani waweze kupata burudani kamili wanaposoma ama wanapoimba mashairi yake.